Duka gani hapa dar ntapata hizi brand?

Duka gani hapa dar ntapata hizi brand?

Zipo za kichina,oposite na jengo lenye ofice za chama cha mabaharia kariakoo ile njia inayoelekea sokoni.duka lipo kulia kama unatokea barabara ya uhuru
 
  • Thanks
Reactions: IDM
nenda kinondoni studio na mwenge utapata shenzi type zako hizo..
 
  • Thanks
Reactions: IDM
Original Bongo bado ila kama unataka original mwambie mtu wa usa akutumie!
 
mkuu hapa tayari ushawapa wajasiriamali dili la kwenda thailand kuzifyatua copy za hizo.
Mim nasikiaga kucheka eti mtu dar anakwambia nimepiga designer juu hadi chini,halafu anakwambia bei si chini ya laki na nusu,yaani unakuta mtu hadi anatia huruma.
Masharobaro na masista duu wa bongo hamna uwezo wa kuvaa designer pieces tulieni tu mnatia aibu.
Tukiwatajien bei tulizonunulia make up bags za designers wa ukweli,tena ambazo hata hatuendi nazo popote tunaacha bafuni si mtapata matumbo ya kuharisha.
 
anyway, niko nyuma sana na fasheni.
Ila ni za wauza maziwa wa Igoma?
 
mkuu kama una dollar 110,nipm nikupe hiyo ya last kings lkn ni ya rangi nyeusi.
ni original nilimnunulia mtu zawadi hakuipenda,ni mpya haijavaliwa,iko kwenye original packing na dustbag yake hata haijafunguliwa.Kama uko tayari hata kesho unaipata.
 
Hahahah!kuna tofauti kubwa kati ya brotherman na mtanashati!dogo aliyeanzisha thread ni brotherman tena new edition!
 
Zipo ubungo zimemwangwa karibu na jengo la tanesco bei ni buku moja.
 
mkuu hapa tayari ushawapa wajasiriamali dili la kwenda thailand kuzifyatua copy za hizo.
Mim nasikiaga kucheka eti mtu dar anakwambia nimepiga designer juu hadi chini,halafu anakwambia bei si chini ya laki na nusu,yaani unakuta mtu hadi anatia huruma.
Masharobaro na masista duu wa bongo hamna uwezo wa kuvaa designer pieces tulieni tu mnatia aibu.
Tukiwatajien bei tulizonunulia make up bags za designers wa ukweli,tena ambazo hata hatuendi nazo popote tunaacha bafuni si mtapata matumbo ya kuharisha.

Ha ha watu wengi hatujui quality,wachina wameharibu kila kitu,wanatudanganya kwamba unaweza kuvaa designers kwa bei ya kutupwa, kuliko mtu anunue handbag ya leather akae nayo,yuko radhi anunue LV ya plastic abebe siku mbili.
 
mkuu hapa tayari ushawapa wajasiriamali dili la kwenda thailand kuzifyatua copy za hizo.
Mim nasikiaga kucheka eti mtu dar anakwambia nimepiga designer juu hadi chini,halafu anakwambia bei si chini ya laki na nusu,yaani unakuta mtu hadi anatia huruma.
Masharobaro na masista duu wa bongo hamna uwezo wa kuvaa designer pieces tulieni tu mnatia aibu.
Tukiwatajien bei tulizonunulia make up bags za designers wa ukweli,tena ambazo hata hatuendi nazo popote tunaacha bafuni si mtapata matumbo ya kuharisha.
dah cheusi wangu bwana.ebu pumzika usije mdhuru mtoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom