Duh

Ally Ngowo

Member
Feb 24, 2015
86
19
96744e4cd7b800e1e1257dab00d28b13.jpg
 
Hivi hakuna mchungaji au Sheikh aombe zitokee barabara kama hizi hapa kwetu.

Maana kwa kodi zetu na hela ya wahisani tutachelewa sana
 
ndiyo maana lile jengo la tanesco linabidi kuondoka sasa wakati gharama yake bado ni ndogo na mapori bado yako karibu...kuliko hapo baadaye ambapo gharama ya kulibomoa itakuwa juu na mapori yako mbali zaidi ya kusimamisha jengo lingine...#JustSaying
 
Back
Top Bottom