Duh! Wapinzani wake wote wamegonga mwamba!

Aisee....nimekuja mbio kwa fahari kumsifia Mama Samia kwa kuwashinda wapinzani..........nakutana na maandiko!
Hata hivyo unapaswa kumshukuru Mama, bila yeye Tanzania isingekuwa hivi usingepata hata Internet.

Mama mitano tena ya shukrani.๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 


Setfree huoni hapa kabisa. Ukishaona logic unakimbia ๐Ÿƒ
 
โ€œEe Bwana, Mfalme wetu, jina lako ni tukufu duniani mwote!โ€ (Zaburi 8:1)

โ€œEe Bwana, ukuu ni wako, na uweza, na utukufu, na kushinda, na enzi; maana vitu vyote vilivyo mbinguni na duniani ni vyako.โ€ (1 Mambo ya Nyakati 29:11)
Amina
 
Unachokifanya wewe ni kosa la kimantiki linaloitwa Genetic Fallacy (kukataa hoja kwa kuangalia tu ilipotoka, badala ya kupima uzito wa hoja yenyewe).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ