Nature yenyewe ilitoka wapi, na hizo laws za nature ziliwekwa na nani?Kwani binadamu tu ndo anakufa ? Kila kiumbe chenye uhai lazima kife ni nature
Bab kubwaWamechallenge almost kila kitu alichosema. Wamehoji, wamefungua kesi, wamehamasisha wengine wawe wapinzani, wameleta arguments zao… wamepiga kelele.. lakini kuna statement yake moja wameshindwa kabisa kuipinga:
“Kwa maana u mavumbi wewe, nawe mavumbini utarudi.” (Mwanzo 3:19)
Ukweli ndio huo, no matter how powerful, educated or rich they may be, mwisho wa safari yao ni uleule: mwili unarudi mavumbini.
Hapo hakuna debate, hakuna escape route! Wale wanaompinga Mungu na Neno lake, kwenye hilo wamegonga mwamba. Kamwe hawawezi kuzuia kifo, hata wakila special diet au kwenda gym kila saa! Mbaya zaidi baada ya kifo ni hukumu (Ebr 9:27).
Aisee, na 👍 tayariUzi tayari
Ndio, sasa hata huku mtaani sioni huyo wa kumfanya awe mkeInasikitisha kwa kuwa nilikuambia usitafute mke mtandaoni, au?
Nilikuambia piga magoti umuombe Mungu atakupa.Ndio, sasa hata huku mtaani sioni huyo wa kumfanya awe mke
Davidmmarista
Hii mada vipi, bado unapekua makabrasha?
Wewe hoja zako si kila mara unasema "hakuna ushahidi"Bado sioni mantiki iliopo hapa Setfree unajitahidi mno kutumia ChatGpt lakini bila shaka logic na the way una prompt seems to vague.
Anyway hamna kiumbe hai asiyepoteza uhai. By any means uamini au usiamini wote tutapoteza uhai. Sasa sijui mantiki yako Iko wapi kwenye huu Uzi? Yaani point yako kuu ni nini hapa?
Htuwezi kujadiri Mad Isiyo na kichwa wala miguu.Davidmmarista
Hii mada vipi, bado unapekua makabrasha?
Hujui kwamba Yesu alikufa na kufufuka? Hapo tayari Yesu ameonyesha kuwa Yeye anaweza kuibadili hiyo unayodai ni nature. Yesu yuko juu ya nguvu ya mauti. Wewe jaribu ufe halafu ujifufue kama utaweza.That is a fact, kwamba viumbe vinakufa, ili yeye ajione Mwamba abadiliahe huo ukweli ili watu wasiwe wanakufa ndio tutajua kweli ana nguvu hiyo.
Bada ya kufufuka Yuko wapi?Hujui kwamba Yesu alikufa na kufufuka? Hapo tayari Yesu ameonyesha kuwa Yeye anaweza kuibadili hiyo unayodai ni nature. Yesu yuko juu ya nguvu ya mauti. Wewe jaribu ufe halafu ujifufue kama utaweza.
Halafu kama huna habari, siku ya ujio wa Yesu, waliokufa katika Kristo watafufuliwa (1 The 4:16-18)