Duh, wanawake mna visa ninyi................!

It still doesn't justify the indecency.

Huwezi kuona hili kwasababu sio traditional yako, kwa wasomali hiyo ni kawaida and its the way its worn. Ni sawa na mmasai umwambie kushare mwanamke sio maadili, maana kuna wale wanaoamini akija mwanaume mgeni nyumbani katika mojawapo ya kukarimia ni kulala na mama mwenye nyumba, ili hali akite mkuki njema.
 
Back
Top Bottom