Duh, wanawake mna visa ninyi................!

Mambo hayo yameenea sana, kila pembe hapa mjini... hahahahahhahahhaha nakumbuka mwimbo fulani wa zilipendwa.
Aisee mkuu, hiyo style siku hizi imeshahalalishwa! nimeona wamama wa heshima kabisa katika shughuli za heshima kabisa wakipiga hiyo, nikajua basi ishakuwa "legal"...hahahahahahahahahaha...mjini hapa!!!!!!!
 
angekuwa na ta_ko kubwa afu aibane iyo nguo ingekuwa balaaaaaaaa
 
anakutaarifu kuwa iko yenyewe ndani
 
kwakweli nimeachwa.
yaani sijaelewa chochote
 
mtambuzi anachojiuliza ni kuwa hilo gauni amelichomeka kwenye nini!!!
 
Gauni alilovaa ni refu sana hivyo amelichomeka hapo ili lipande juu lisije mkwaa akaanguka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…