Hodi kwenye Jukwaa hili wakuu. Naomba na mimi nichangie kidogo. Hili suala la kujisifu kwa wanaume (ego) limeletwa na Mungu mwenyewe katika Mwanzo 3:16 ambayo inasema kwa sehemu kama ifuatavyo: "...tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala." Kwa hiyo mtawala ndani ya nyumba ni mwanaume tu hata kama ni maskini namna gani, utakuta mwanaume anajitutumua tu!
Kwa hiyo hapa asilaumiwe mwanaume kwa kitu alichopewa na Mungu!
Jambo jingine ni logic tu, kwamba nyumba haiwezi kuwa na viongozi wawili, lazima kuwepo na mwenye maamuzi ya mwisho! Bahati nzuri Mungu alishamteua mtu huyo kama nilivyosema hapo juu!
Kama ungalikua hutaki kuijadili kibiblia usingenukuu maandiko huko na kutafsiri uongo...
Hebu sikiliza Njia Panda Clouds FM usijikie jinsi mlivyo na hila...
We wacha kukuleta maneno
mengi tumeisha wazowea wanawake, FYI men are more powerful na wana
better judgment, and can handle themselves better in tough situation kwa
hio wana haki ya kujisifia :biggrin1:
Hewala mkuu.
Lakini mbona pamoja na kupewa mamlaka hayo na Mungu, lakini pale itokeapo mwanamke akam- criticize mwanaume japo kidogo tu, yeye anaishiwa na nguvu kabisa. mimi nilitarajia atatumia maguvu hayo kujitutumua na kuonyesha kwamba hayuko hivyo kama navyofikiriwa.
Hebu chukulia mwanaume anaambiwa na mpenzi wake mara baada ya game kuwa hajaridhika kwa sababu jamaa ana kibamia na hajamfikisha kileleni,....
Unatarajia huyu mwanaume atajona vipi mbele ya wanawake na wanaume wenzie?
Kwa mwanamke is not a big deal kukosolewa, inaweza kumuuma lakini sio kwa kiwango kama cha mwanaume, kumbuka huyu mwanaume ndiye aliyepewa mamlaka na Mungu! halafu akosolewe na kiumbe alichoambiwa kwamba yeye ndiye kichwa cha hicho kiumbe!
Je, una maoni gani juu ya hilo mkuu?
afadhali umekuja dada yangu, ni shida sana kusikiliza mawazo ya watu wasiojielewa, wao kutwa kuona kama wanaonewa sababu ni kwamba hawajui nafasi yao kijinsia....
Tena huyu nahisi atakuwa ni Mpalestina bila shaka...
Vukani siku nilipomuambia mwanamke kuwa una harufu kali na maji mengi kwenye ile kitu ndio siku ya mwisho kumuona yule dada
sasa tuseme vipi nanyi mna ego au sisi tu?
Ego haimaanishi usipende kukosolewa. Ukimuambia vizuri na kwa upendo huku ukionyesha it is both your problem wala hatojisikia vibaya. Bila kukosoana tutafika? Saa zingine ni ugonjwa jee?
Ego haimaanishi usipende kukosolewa. Ukimuambia vizuri na kwa upendo huku ukionyesha it is both your problem wala hatojisikia vibaya. Bila kukosoana tutafika? Saa zingine ni ugonjwa jee?
Watu wanapenda kucomplicate maisha, maisha yenyewe mafupi haya tunasoma phd duniani ajora mbinguni. Sasa kama kumsifia mpenzio ni sh ngapi? Watu walalamikie kuchunwa hela na kuchunwa pesa, akhaa!
ila nna kesi na wewe, tutaonana usiku kwenye besdei ya shem wako. Sali sala zote, huwezi kunishabikia na snowhite bila ushahidi!
hataki rungu wala mti ngozi wenu,kipochi manyoya chake kinamtosha!kinachomkera ni hizo ego zenu kumbe tembele!
ahahahhahahhahahhahahha leo ndyo leo mukye mukuye huku
umenionea lakini mimi! watu8 niokoesijajua nini tatizo hapa. Is it chuki au ni hiyo ego? Maana naona mpaka mnatusubiri kwa usongo, duh! Lakini all in all sifa moja ya mwanamke aliyeumizwa sana na wanaume atatafuta kila njia ili awaone wanaume kama normal things kwake, kuwashusha uthamani na uhalisia wao. Ukija kwenye huo utembele mbona wengi wenu huwa mnatega tu shimo ilimradi kutimiza. Tunakutana na wanawake wengi tu ukimuuliza kuhusu sex ni kama mme anafanyaga na godoro lenye maji maji! Au kwa sababu hatuwaoni mkisimamisha? Kila mwanaume angekuwa anakagua clitoris zenu kabla ya kuwaingilia kungekuwa hakuna ngono. Sex ni an art of psychology btn two people. Pia hamuwezi kubadili jiwe kuwa nyasi zikaliwa na mbuzi.! Even in science tunasoma values mbili kwa binadamu ambazo ni za mwanaume na mwanamke, value za mwanamke huwa ndogo kuliko mwanaume in every aspect leave alone hb ambayo huwapungua kila mwezi. Thats normal physiology tukiacha biblical theories ambako ni kama hamuhesabiwi. Maamuzi mengi wanaume wanayafanya with all the risks na yanafanikiwa. Ukiwapa mwanamke na mwanaume ambao wako kwenye same status kiwango kimoja cha pesa leo ndo utagundua utofauti wa mwanaume na mwanamke kwa maamuzi.
ah mi si unanijua tena ninavouworship uanamke wangu!
ahsante shem wake watu8 kwa kunifanya nijisikie mwanamke!