KANCHI
JF-Expert Member
- Sep 3, 2011
- 1,533
- 230
Maisha si vita. Ni mapambano mpaka mwisho. Hakuna haja ya kukata tamaa kisa mshahara mdogo. Njoo kazini kwanza, utajifunza njia mbalimbali za kukuingizia mapato. Kama kweli una nia ya kutengeneza pesa, hamna haja ya kukata tamaa.
Tatizo ninyi mnataka mtengenezewe pesa, mlipwe mshahara wa mikubwa tu,hamfikirii ni namna gani nitatumia niongeze kipato changu.
TUBADILIKE.
Maisha ni vita mkuu,umechapia au typing error!!!