Duh, nimeumbuka, Naomba msaada wenu!

Duh, nimeumbuka, Naomba msaada wenu!

Kwa maananyingine hatujapa jina sahihi la Senene....au ndo ikubariwe iwe BUKOBAE?
Jibu ndo hilo katoa Babu wa Loliondo.Kiingereza cha nsenene ni cricket, jina kama ule mchezo wapendao wahindi na watu wa australia. sawa sio Mtambuzi?
 
senene.jpg


Jana usiku mwanangu Ngina kanistukiza na swali, akitaka kujua eti Senene wanaitwaje kwa kiingereza.
Nilijifaragua, kisha nikamwambia nitamjibu baadae, hata hivyo nikamtoroka nikaenda kulala, leo alfajiri nimewahi kuondoka bila hata kumuaga, maana nilijua atanikumbusha swali lake.
Najua nikirudi jioni nitapambana na hili swali, hebu wana JF niondoleeni hii fedheha!

Najuuta kusoma shule za Ngumbaru!
Screenshot_2016-06-27-15-23-37.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom