Duh... Netanyahu kayakanyaga aisee!

Hivi ushindi wa Iran kwenye hii vita ni ui?
Kwenye mchezo wa ndondi, ikitokea upande wa bondia mmoja aliyezidiwa na mashambulizi ya ngumi ukitupa taulo; pigano linasitishwa!
Vivyo hivyo kwenye mieleka! Mpinzani wako akikukaba vizuri chini na kushindwa kujinasua, ukinyoosha tu mkono! Shindano linasitishwa. Maana yake umepigwa.

Jambo hili ndilo lililofanywa na Marekani pamoja na mtoto wake Israel. Kiufupi walivamia mzinga wa nyuki.
 
Lengo lao ilikuwa kuharibu vinu vya nukes vya Iran na wamefanikiwa!

Sasa hapo mshindi ni nani
 
Lengo lao ilikuwa kuharibu vinu vya nukes vya Iran na wamefanikiwa!

Sasa hapo mshindi ni nani
Wenye hivyo vinu vyao wamekataa kwa kusema havijaharibiwa! Na hapo tumuamini nani, mmiliki au mvamizi!!
 
Muajemi ni noma
 
Kwahio kuanzia Leo tusijekusikia Iran ana nyuklia Tena kwakua kazi mumeimaliza sawa,? Tukisikia mna anzisha maneno maneno maana yake mnatafuta kingine Iran hana nyuklia na program imefungwa rasmi.
Iran itashambuliwa tena na huyo Ayatollah atauwawa kama Rais Ebrahim Raisi alivyokufa kifo cha kutatanisha milimani uko.
Hii itakuwa endapo Iran itagawa silaha kwa wanamgambo ili iishambulie Israel.

Maana sera kuu ya kimataifa ya Iran ni "Death to Israel". Sasa kabla Israel haijauwawa na Iran, inabidi Israel ijipambanue kiulinzi.
 
Regime change vip au ngonjera nyingi vitendo zero
Ukimtoa Ayatollah ikatoa chaos hapo Iran nani atapokea wakimbizi? Huoni wa Syria wameanza kurudishwa kwao. Maana Iranians wenyewe wanaendeshwa na mkono wa chuma kuna wengine wanataka kujitenga.

Hii risk sio ya lazima. Labda warudie vita na ionekane tatizo kubwa ni msimamo wa Ayatollah.
 
Hizi sasa ni ngonjera
 
 
Mzayuni hawezi toboa miezi miwili mtu bee na muajemi. Amshkuru US Kwa kumkingia kifua kila mara Hali ingekua mbaya zaidi, mkubwa Mpishe zayuni kazi yake ni tuvikundi tuu kama Hamas.
Sifa nyingi kumbe hana lolote bila Marekani! Hata mimi nimeshangaa!, Wanayemtaja kuwa Rais wa Dunia anaomba vita iishe! Huko kuna jambo kubwa!
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kobaz bhana!

Mbona malengo ya Israel anajulikana na 98% ameyatekeleza?
Malengo gani mzeeπŸ˜‚?

Iran anaendelea na mpango wake wa nyuklia as usual kitu ambacho Marekani na washirika wake walikuwa hawataki. Wamefeli.

Mfumo wa kurusha makombora upo stable kitu ambacho Marekani na washirika wake walidhamiria kuuondoa. Wamefeli.

Kuubadilisha utawala wa Iran na kupachika kibaraka wao. Wamefeli.

Hapo ni malengo gani yaliyotimia?
 

Attachments

  • Screenshot_20250625_071427_Facebook.jpg
    329.7 KB · Views: 14
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Kobaz bhana!

Mbona malengo ya Israel anajulikana na 98% ameyatekeleza?
Jisomee taarifa kutoka chanzo cha kuaminika DW ambao ni Wajerumani wakinukuu maafisa wa usalama wa Marekani wakisema mpango wa B-2 bunker buster kuangamiza vinu vya nyuklia vya Iran ulifeli.
 

Attachments

  • Screenshot_20250625_071402_Facebook.jpg
    508.2 KB · Views: 16
Waisrael weusi kama oil chafu kutoka Masulumpweta jisomeeni taarifa ya shirika la ujasusi la Marekani.

Halafu jiulize wewe kilaza usiyejua kitu na watu waliobobea kwenye ujasusi nani aaminike.
 

Attachments

  • Screenshot_20250625_071402_Facebook.jpg
    508.2 KB · Views: 13
  • Screenshot_20250625_071427_Facebook.jpg
    329.7 KB · Views: 17
Hakuna vita ilikua muhimu Kwa Iran na Iran amefaidika nayo Kama hii, Hata Kama vinu vyote vingipasuliwa akabaki mweupe Bado anamshumuru Sana aliyeanzisha, kitendo Cha Iran kugundua mtandao wa moles inside nyie ni ushindi mkubwa mno maana je angekuja kugundua miaka mbele kiasi Kwamba nchi ilikua inaondoka wako wengi mno maagent fake, haraka haraka za Netanyau ndio zimeikoa Iran, US hesabu zake zilikuz Bado kabisa kui attack Iran, Iran sasa akifanya clean up si rahisi kabisa kumpigia kutokea nje ni sawa na never!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…