Duh Mvua nomaaaaa

Duh Mvua nomaaaaa

ludoking

Senior Member
Joined
Oct 5, 2008
Posts
124
Reaction score
71
Jamaa kaamka asubuhi sana Jumamosi, mvua
inanyesha kang'ang'ania kuwa anaenda ofisini.
Kawasha gari yake, kufika njiani hali ilikuwa
mbaya kaamua kurudi. Kafika home kavua nguo
kaingia tena kitandani, kamnong'oneza mkewe
...aliyekuwa usingizini; "Yaani hali ya hewa huko
nje mbaya sana" Mke: Si ndio nimemshangaa
huyu mpumbavu eti kaenda kazini.........
 
hi hi hi hi hi hi, hii ni sooo

hii ipo common sana now day, haswa uswahilini
 
Ambao bado hatujaoa kazi ipo,dunia inaelekea ukingoni jamani! Wanawake wanataka waolewe na waume kibao ndio waridhike?
 
Ambao bado hatujaoa kazi ipo,dunia inaelekea ukingoni jamani! Wanawake wanataka waolewe na waume kibao ndio waridhike?

Tehe tehe tehe !!! Oa tu si wanakusaidia kutunza . Maisha magumu sana siku hizi.
 
Tehe tehe tehe !!! Oa tu si wanakusaidia kutunza . Maisha magumu sana siku hizi.
kwani siku hzi kuna mwanamke mwenye wanaume 3?.me ninavyojua wanaume ndo wanaoa wanawake 3 na kuendelea sema siku hz maisha yamekuwa magumu unamkuta mwanamke kaolewa lakn bado ana hawara wa kumsaidia.. Hii yote inaletwa na kitu PESA WALA C MAPENZ KAMA WENG WANAVYODHAN..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom