Duh, miaka 13 ndani ya JF si haba

Duh, miaka 13 ndani ya JF si haba

Huwa napenda sana hii tarehe, ina kumbukumbu nyingi kwangu za muhimu. 17th March ya kila mwaka.
Nilijiunga hapa 17th March 2008. Long Live JF. Soon nitakua Platnum member
Alamsiki
Hongela bwa'mdogo
 
Mimi nilikuwa msomaji tu wa JF kwa miaka mitano! Nikajiunga mwaka 2015 kwa jina langu halisi, nikaona muda si mrefu nitajulikana!

Nikabadili user name! Sijakaa sawa,kuna kenge mmoja akanizingua! Nikajikuta nime sign out kwa miaka kadhaa! Kabla ya kurudi tena jukwaani kwa kishindo 2019 nikijulikana sasa kama Tate Mkuu !!

Anyway, nipende kuchukua nafasi hii kukupongeza pamoja na wakongwe wenzako wengine mliomo humu.
 
Back
Top Bottom