Acha masihara bana, nime-stuck hapa Chanika tangu saa tatu za usiku daladala hazifiki huku.Mbona umeonekana pale bondeni hotel magomeni?
Acha kutafuta kisingizio...leo mama lazma akupe makofi lol
Ili tutandikwe wote?Acha masihara bana, nime-stuck hapa Chanika tangu saa tatu za usiku daladala hazifiki huku.
Nimepata guest na nimeshalipia ili kupitisha usiku wa leo huku...........Nitajieleza kesho, naomba tu uwe shahidi yangu mkuu....................
dah naomba akuchape viboko 10
Mkuu huko vikuku vya kienyeji ni vwa kumwaga. Usiache kupata hata kimoja.Acha masihara bana, nime-stuck hapa Chanika tangu saa tatu za usiku daladala hazifiki huku.
Nimepata guest na nimeshalipia ili kupitisha usiku wa leo huku...........Nitajieleza kesho, naomba tu uwe shahidi yangu mkuu....................
Naomba unitake radhi, mie siko hivyo kabisaaa.............