Duh, leo nalala Chanika……………………..!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
15,379
Inaelekea saa tano za usiku sasa, Daladala sizioni, na simu ya mama Ngina haipatikani…………!

Haya mambo ya kwenda shamba jioni ndio madhara yake, ngoja nitafute Guest mapema nipate kujistiri. Nitajieleza kesho kwa mama Ngina.

Wana JF naomba muwe mashahidi wangu kesho nikipata kibano.
 
Mbona umeonekana pale bondeni hotel magomeni?
Acha kutafuta kisingizio...leo mama lazma akupe makofi lol
 
Mbona umeonekana pale bondeni hotel magomeni?
Acha kutafuta kisingizio...leo mama lazma akupe makofi lol
Acha masihara bana, nime-stuck hapa Chanika tangu saa tatu za usiku daladala hazifiki huku.
Nimepata guest na nimeshalipia ili kupitisha usiku wa leo huku...........Nitajieleza kesho, naomba tu uwe shahidi yangu mkuu....................
 
Ili tutandikwe wote?
lol nenda kwa Ummi akakupe hifadhi yuko hukohuko tena jirani na hiyo guest
 
dah naomba akuchape viboko 10
wakati najisalimisha kwenu ili muwe mashahidi wangu, ndio kwanza mnaitisha na kunipa jakamoyo............ eeh Mnyazimungu, hebu waone viumbe hawa wasio na chembe ya huruma...............!
 
Najua Cantalisia akiona hii maneno atanizulia jambo kwa mama Ngina...................LOL
 
Last edited by a moderator:
unalala gesti peke ako umetiwa ndimu hivi?

Urongo, lazima kesho umtambue.
 
Hongera mkuu naona leo mzigo unapiga uliuset muda mrefu sana.Tanesco wanajua lakini
 
unalala gesti peke ako umetiwa ndimu hivi?

Urongo, lazima kesho umtambue.
Kongosho .......Guest za huku huwezi kuingia na mwanamke asiye wako, kwani wanataka cheti cha ndoa na kama huna hamruhusiwi kuchukua chumba...................
 
Last edited by a moderator:
Hongera mkuu naona leo mzigo unapiga uliuset muda mrefu sana.Tanesco wanajua lakini
Ushanitia najisi............... mie sipendi huo utani wa mambo ya uasherati.................LOL
 
Acha masihara bana, nime-stuck hapa Chanika tangu saa tatu za usiku daladala hazifiki huku.
Nimepata guest na nimeshalipia ili kupitisha usiku wa leo huku...........Nitajieleza kesho, naomba tu uwe shahidi yangu mkuu....................
Mkuu huko vikuku vya kienyeji ni vwa kumwaga. Usiache kupata hata kimoja.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom