Duh kuna mdada kanizimia...................

Tatizo ni information technology watu wanataka ku google kila kitu hata maneno ya kutongoza au ya kumtolea mtu nje. JF MMU ni zaidi ya google kwenye suala la mapenzi.

khaa! Kwakweli vijana wa siku hizi wengine ni legelege sana, yaani hata hili linakushinda??
 
khaa! Kwakweli vijana wa siku hizi wengine ni legelege sana, yaani hata hili linakushinda??

We mwanamke m tryn to be mo than a gentleman here, think beyond maself thats not ULEGELEGE!
 
nani aliyeonyesha kumhitaji zaidi mwenzake ??? hapa unaomba ushauri ina maana umeshamvua chupi au???
 
teh teh unamaanisha unamuoena aibu kumwambia haupo tayari kwa hayo anayoyataka...inaonekana ushampapeli ye akajua uko serious sasa ushapata zawadi ya ushindi unataka kupotezea...kazi unayo utakoma
 
kuwa mkweli, she is a big girl naamini atakuelewa. usizidi kumpotezea muda.

Sure, ask her for dinner sehemu nzuri tu mkishamaliza kula msifie kwanza hata kama siyo as it seems unahumshemu fulani hivi kutoka kwenye posts zako, tell her she is beautiful but u think u n her it will not work. Mpe reasons za kueleweka n call it off, na siyo siyo baada hapo unaanza tena kurudi, kama unaweza cut off communication. Better maumivu ya once than kumsubirisha ayasikilizie kwa muda mrefu i.e putting her on hold.
 
Unajua i dont wanna give her hopes so ma dinner na ma lunch hayo yatamfanya hopes zake ziwe juu halafu ukizikata inakuwa ni super blow kwake
 
kama nimekuelewa vibaya sorry. Inaonyesha huyo dada anakupenda kwa ishara zile zinazotumiwa na kina dada kuexpress their feelings,kama itakuwa ni hvyo najua itakuwa ngumu sana kumweleza as a man i know tht cause i ve experinced that. . A best solution ni kupunguza mawasiliano na kutokumjali, jitahid sana kuregrate cm zake or email, si kial call atakayokupigia uwe unaipokea, weka mchuno wa hali ya juu, mwisho wa siku atakueleza ukweli live, nawe utamweleza ukweli wako juu ya hayo anayoyataka. Ukiendeleza huruma zako itakuja kukucost take care.
 
Unataka ushauri gani sasa? Mwenzio anataka wewe unambania.
 
Back
Top Bottom