Wanajukwaa,
Kuna mtu amejaribu kujiuliza ni kwa nini wenyeji wa mkoa wa Kigoma ni wabishi kiasili?
Nimetembea mikoa mingi Tanzania, nilisoma na nilifanya kazi na watu tofauti tofauti na record zilinipa ushahidi kuwa Waha wengi wana asili ya kuwa wabishi kuliko hata akina Mwita, Marwa, Chacha!
Mwenzangu unasemaje katika hilo?
Kistaarabu zaid, karibu kwa maoni.

Siyo kweli ubishi wa nini ...kufaulu au kufeli au richmond au escrow au nini...mtoa hoja mlikuwa mnabishania nini? Na umekutana nao wangapi....wa wapi....na mlikuwa mnaongelea nini....hahaha
duu! ila yote 9-10 wamakonde wabishii asa uje uwakute kwenye ushidani wa mpira utachoka
Wanajukwaa,
Kuna mtu amejaribu kujiuliza ni kwa nini wenyeji wa mkoa wa Kigoma ni wabishi kiasili?
Nimetembea mikoa mingi Tanzania, nilisoma na nilifanya kazi na watu tofauti tofauti na record zilinipa ushahidi kuwa Waha wengi wana asili ya kuwa wabishi kuliko hata akina Mwita, Marwa, Chacha!
Mwenzangu unasemaje katika hilo?
Kistaarabu zaid, karibu kwa maoni.
kweli kabisaa! hawa jamaa awawezi kukubari hadi wahahakishe unawapa kombe!
nafikiri ata nicki mbishi naye ni muha!