Ametoa siri zako mkubwa?Mleta mada naona hizi dharau sasa
Watu kama nyinyi ndio huwa hatari kupita maelezo. Mpaka mna virago vya kulalia kilingeni kwa Sangoma.Sijawahi kwenda kwa Mganga na sitakuja jaribu kwenda
Yakiwapitia kulia kwani mnasemaga basi!Haya mambo ndo yalinipitaga kushoto kabisa...
Nahitaji wa kweli kama unaye nipeWaganga wapo na nguvu za kiganga zipo.
Ila tu ukutane na mganga wa kweli ila ukikutana na matapeli ni taabu tupu.