Duh, haya majina nayo. . .

Duh, haya majina nayo. . .

Status
Not open for further replies.

Jamsuldash

Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
69
Reaction score
24
Kulikuwa na mkutano wa walimu kutoka shule kadhaa za sekondari hapa Tanzania ambazo ni Mzumbe, Kibaha, Senge, Kilakara, Mirambo na Galanosi basi ukaja wakati wa kuwapanga walimu MC akaanza wale walimu wa Mzumbe wakae hapa, wa Kibaha pale, wa Mirambo hapo, wa Galanosi wakae huku mbele pamoja wa Kilakara na wale walimu . . . . Senge wakae nyuma huko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom