Serikali iunde tume ya kuchunguza mabadiliko ya kitabia na mienendo ya hawa viumbe haraka iwezekanavyo. Baada ya hapo juhudi za kuwarudisha kwenye makazi yao ya asili zianze mara moja la sivyo tutapoteza miongoni mwa vivutio bora vya utalii nchini
Kwahiyo hapo alivyobinuka akaangukia kifua alikuwa anawaiga wale wanawake kwenye vigodoro🤣🙌!