Sakata la Dudubaya: Je Serikali inaunga mkono ushoga?

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
27,345
Reaction score
28,258
Dudubaya siku zote amekuwa mstari wa mbele kupinga vitendo vya kishoga hapa nchini. Huyu jamaa anastahili kabisa kuwa balozi wa kupinga ushoga. Hakuna mtu asiyefahamu jinsi Mambaz24 anavyopambana dhidi ya mashoga na wasagaji katika taifa hili.

Pamoja na juhudi zote hizi, nimesikitishwa sana kusikia Dudubaya kuitwa polisi sentroo ili ashughulikiwe kwa sababu ya klipu za kupinga ushoga anazoshare mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii. Nimebaki najiuliza: Je, serikali hii ni ya kishoga au inakubaliana na vitendo vya kishoga? Kama sivyo, kwanini wamuandame Mambaz na kumkatisha tamaa kwa jitihada zake za kupambana dhidhi ya ushoga? Huenda kuna manufaa ambayo serikali inayapata kupitia vitendo vya kishoga. Kama manufaa hayo yapo, basi yawekwe wazi kwa kila mtu.

Nilitegemea Mambaz aitwe Ikulu akanywe chai na Rais huku akimpongeza na kumtia moyo kwa kazi nzuri anayoifanya, badala yake ameitwa kihuni aende sentroo akasoteshwe. Huko sentroo hakawii kumbabikwa kesi ya uhaini au ugaidi ili akose dhamana.

MAONI YANGU
Naomba serikali isimnyanyase Mambaz na kumtoa kwenye lengo lake zuri la kutokomeza ushoga na usagaji hapa nchini. Nashauri pia serikali imuandalie tuzo ya pongezi na kumtia moyo. Wanaoumizwa na vitendo hivi ni watoto na wajukuu zetu. Watoto wa watawala na vigogo mara nyingi hawaguswi ndio maana hawana uchungu dhidi ya vitendo hivi vya kishenzi vinavyozidi kushamiri siku hadi siku.

Nawasilisha.
 
Dudubaya siku zote amekuwa mstari wa mbele kupinga vitendo vya kishoga hapa nchini. Huyu jamaa anastahili kabisa kuwa balozi wa kupinga ushoga. Hakuna mtu asiyefahamu jinsi Mambaz24 anavyopambana dhidi ya mashoga na wasagaji katika taifa hili.

Pamoja na juhudi zote hizi, nimesikitishwa sana kusikia Dudubaya kuitwa polisi sentroo ili ashughulikiwe kwa sababu ya klipu za kupinga ushoga anazoshare mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii. Nimebaki najiuliza: Je, serikali hii ni ya kishoga au inakubaliana na vitendo vya kishoga? Kama sivyo, kwanini wamuandame Mambaz na kumkatisha tamaa kwa jitihada zake za kupambana dhidhi ya ushoga? Huenda kuna manufaa ambayo serikali inayapata kupitia vitendo vya kishoga. Kama manufaa hayo yapo, basi yawekwe wazi kwa kila mtu.

Nilitegemea Mambaz aitwe Ikulu akanywe chai na Rais huku akimpongeza na kumtia moyo kwa kazi nzuri anayoifanya, badala yake ameitwa kihuni aende sentroo akasoteshwe. Huko sentroo hakawii kumbabikwa kesi ya uhaini au ugaidi ili akose dhamana.

MAONI YANGU
Naomba serikali isimnyanyase Mambaz na kumtoa kwenye lengo lake zuri la kutokomeza uishoga na usagaji hapa nchini. Nashauri pia serikali imuandalie tuzo ya pongezi na kumtia moyo. Wanaoumizwa na vitendo hivi ni watoto na wajukuu zetu. Watoto wa watawala na vigogo mara nyingi hawaguswi ndio maana hawana uchungu dhidi ya vitendo hivi vya kishenzi vinavyozidi kushamiri siku hadi siku.

Nawasilisha.

DGIS atapita nae huyu Jamaa wa Crocodile 24...nipo pale Mwaka kabla haujaisha huu tutamfukia
 
Kwa hiyo mtu anayepinga ushoga unataka afanyeje kama sio kupiga kelele mkuu? Unataka atembee uchi barabarani au afanyeje?
Mwanaume kamili nilazima awe anachukia ushoga na kutokubaliana nao. Lakini hiyo haitoshi nilazima kuwe na sheria za udhibiti wa hilo jambo na utekelezaji wake. Kuandika mtandaoni unadhani kuna shoga anaweza kuacha ushoga kwakuwa amesikia mtu ana pinga mtandaoni?
 
Dudubaya siku zote amekuwa mstari wa mbele kupinga vitendo vya kishoga hapa nchini. Huyu jamaa anastahili kabisa kuwa balozi wa kupinga ushoga. Hakuna mtu asiyefahamu jinsi Mambaz24 anavyopambana dhidi ya mashoga na wasagaji katika taifa hili.

Pamoja na juhudi zote hizi, nimesikitishwa sana kusikia Dudubaya kuitwa polisi sentroo ili ashughulikiwe kwa sababu ya klipu za kupinga ushoga anazoshare mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii. Nimebaki najiuliza: Je, serikali hii ni ya kishoga au inakubaliana na vitendo vya kishoga? Kama sivyo, kwanini wamuandame Mambaz na kumkatisha tamaa kwa jitihada zake za kupambana dhidhi ya ushoga? Huenda kuna manufaa ambayo serikali inayapata kupitia vitendo vya kishoga. Kama manufaa hayo yapo, basi yawekwe wazi kwa kila mtu.

Nilitegemea Mambaz aitwe Ikulu akanywe chai na Rais huku akimpongeza na kumtia moyo kwa kazi nzuri anayoifanya, badala yake ameitwa kihuni aende sentroo akasoteshwe. Huko sentroo hakawii kumbabikwa kesi ya uhaini au ugaidi ili akose dhamana.

MAONI YANGU
Naomba serikali isimnyanyase Mambaz na kumtoa kwenye lengo lake zuri la kutokomeza uishoga na usagaji hapa nchini. Nashauri pia serikali imuandalie tuzo ya pongezi na kumtia moyo. Wanaoumizwa na vitendo hivi ni watoto na wajukuu zetu. Watoto wa watawala na vigogo mara nyingi hawaguswi ndio maana hawana uchungu dhidi ya vitendo hivi vya kishenzi vinavyozidi kushamiri siku hadi siku.

Nawasilisha.
Ukitaka kujua kwamba serikali yetu haramu inasupport USHOGA kwa 100% angalia Serikali ilivyomruka MAKONDA kipindi alipoanza kuwakamata MASHOGA na pili muangalie Mama Gwajima anavyowaogopa kuwaita MASHOGA ,akiona vidada mtandaoni vinatikisa matako FASTA aviita viende ofisini kwake kisa vimevunja maadili lakini Kina Anko T ,Noel ,Rio Po ,Lokole,Delicious ,Rich Adore wanapaka Mishedo ,wanavaa Mawigi ,wanavaa nguo za kike lakini hawagusi ,akiona clips zao anazipita kama anaaga maiti.
 
Back
Top Bottom