Dudubaya ni ngangaripoa?

Mshana nimepoteza ndugu zangu 3 ajali ya msata juzi coaster msaada wa kifkra maana ata kale katoto ka Shemeji yangu niliumia sana naomba msaada wa kuwatuliza kuwabembeliza wanafamilia maana
Mungu wangu pole sana kagombe hasa katika kipindi hiki kigumu chat kuwapoteza ndugu 3 kwa mpigo...
Kuna wakati maisha huja na changamoto zenye maumivu makubwa lakini kila kitu mwachie Mungu atakuvusha salama kipindi hiki kigumu
 
Nashukuru mkuu

Alisema ukimgusa yeye ni kama umemgusa mungu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…