Dudubaya achezea wahaya; achukuliwa RB

Dudubaya achezea wahaya; achukuliwa RB

Hakuna kesi hapo!!!!!??? narudia hakuna kesi ya jinai wala ya madai . Maneno yoyote ya kudhalilisha ambayo humtaji mtu badala yake unataja kundi hayawezi kuwa DEFERMATORY. There is no defermation to the general public. Maneno hayo ya kuharibu hadhi na utu wa mtu lazima yamtaje mtu moja kwa moja na si kwa kundi.
Mjinga wewe. Angekuwa apo amesema dini mfano waislamu ndyo ungekuwa mwisho wake.
 
Aisee wabongo wamevurugwa na hivyo mshahara haujapanda
 
Mjinga wewe. Angekuwa apo amesema dini mfano waislamu ndyo ungekuwa mwisho wake.
Naona unaongea kienyeji kabisa hujui misingi yoyote ya kisheria wala kifungu chochote unabwabwaja tuu. Wanaoelewa nilichoandika wamenielewa, wewe kwa sababu ni mara ya kwanza kusikia haya ndio unapayuka. Kwanza neno''WAHAYA'' halimaanishi tuu kabila bali hata wetu wenye SONI,AIBU huitwa wana HAYA
 
Hakuna kesi hapo!!!!!??? narudia hakuna kesi ya jinai wala ya madai . Maneno yoyote ya kudhalilisha ambayo humtaji mtu badala yake unataja kundi hayawezi kuwa DEFERMATORY. There is no defermation to the general public. Maneno hayo ya kuharibu hadhi na utu wa mtu lazima yamtaje mtu moja kwa moja na si kwa kundi.
Inaonekana bro upo vzr kwny Law
 
Back
Top Bottom