Kibo10 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 11,278 Reaction score 8,868 Dec 28, 2013 #1 We mama, Ile 'kitu' ya mwanao wa kiume usiite DUDU. Ati 'ficha DUDU yako'!. Ndo maana baadae ukubwani anaitumia vibaya Kama kiungo-Tengwa.
We mama, Ile 'kitu' ya mwanao wa kiume usiite DUDU. Ati 'ficha DUDU yako'!. Ndo maana baadae ukubwani anaitumia vibaya Kama kiungo-Tengwa.
Ladymasa JF-Expert Member Joined Oct 2, 2013 Posts 877 Reaction score 335 Dec 29, 2013 #2 Kwa hiyo tuiteje hiyo kitu?