johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,048
- 142,160
Mke wa dudu baya aliwahi kumlalamikia mtangazaji wa radio Wapo Anthony Joseph kwamba mumewe anajinyea kitandani. Wale wasikilizaji wa Wapo radio watakumbuka hii wakati ule Anthony Joseph bafo yupo Wapo na anaendesha harakati za kutetea watu walioumizwa kwa namna moja au nyingine. Je mtu mzima kujinyea kitandani ni ugonjwa?....... Kama ndio unasababishwa na nini?
Je, ni ubabe wa kishamba?
Usiku mwema!
Je, ni ubabe wa kishamba?
Usiku mwema!