Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,194
Serikali ya Magufuli sio ya mchezo mchezo!
Msajili wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali ametangaza kuyafuta Mashirika takribani 1,271 kwa kuendesha shughuli zao kinyume cha Sheria ya NGO.
Mashirika hayo yamepewa siku 30 yajieleze kabla hayajafutwa kabisa.
Binafsi nimevutiwa na uwepo wa Asasi inayoitwa ACACIA DEVELOPMENT SOCIETY. Nisiulizwe kwanini tafadhali.
Nimewawekea Orodha nzima kwenye document hiyo hapo chini mjisomee.