DUCE Introduces a Postgraduate Diploma in Education (PGDE) Evening Programme

Hacha kujitongozesha wewe!

Dr. Mi ni 1st yr DUCE Bsc. Ed nina hamu kubwa sana ya kufundishwa na wewe. I remember kwenye speech yako wakati wa faculy day ulikuwa so inspirational kwangu kuhusu kupenda ualimu. P'se kuna module ya mwisho EP 101 ni yako usimpe mtu mwingine b'cause mpo wawili. Pongezi pia kuanzi pgd its such a nice plan and viable one.
 
ongengera mkubwa kwa kufanyiwa recategorization,ebunipe utaratibu mi nshakomaa sana kuomba kubadilishwa nimesoma adv dip in accountancy ila ni linced teacher.mwisho wa siku naambiwa nkasome pgde kwanza.
mnashangilia kazi isiyo na posho wala marupurupu degree,532,000/=
 
Back
Top Bottom