Habari Zenu wakuu.. Mimi nimechaguliwa Duce naomba kujuzwa changamoto za hiki chuo!! Pia kama kuna kubebana tukumbukane jamani
Vyumba ni mtaani bei 60,000 na kuendelea vyuo vya dar havina hosteli labda ukajibanze mabibo hostel km unapenda kulala kwa zamu kitandani km mfungwa

wilikuwa hapo miaka michache iliyopita changamoto kubwa niijuayo DUCE ni kunuka kwa vyoo. Sijajua kwa sasa waliopo huko wanaweza kutujuza. Pia kunachangamoto ya vyumba nyumba nyingi za keko zinavuja wakati wa masika unaweza ukawa lectutre ukakuta madesa yote yamelowa. Ndio maana mimi nilikuwa na kaaa mabibo hostel

Duce itanitesa sana no Hostel?? Nitaishi vp!!!!!!!