Dube aaga rasmi Azam FC

Hongera Dube umefanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi, wakati mchezaji akiwa kwenye peek ya career yake ndio muda mzuri wa kuwa na ubavu wa kuamua kutoka eneo moja kwenda lingine lenye maslahi zaidi maana uhitaji wake unakuwa mkubwa, kiwango kikishuka uwezo huo unakuwa haupo tena.


Best of luck Prince D.
 
Timu itakayo msajiri huyo dogo imelamba dume
 
Simba wanatamani kusikia Dube amesajiriwa Madrid Ila sio yanga 🀭🀭🀣
 
Tatizo anaenda Yanga, bado tabu ipo palepale.
Yanga hii ambayo mchezaji wao ghali zaidi ni azizi ki aliesajiliwa kwa milion 400


Je wapo tayari kutoa milion 700
 
Hahaha
Awapi sketi yako ya maroni sijui damu la mzee ukivaa inaonyesha ukweli utukufu na ufundi wa Muumba juu ako alivokutengeneza [emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Jikaze kijana
 
Dube ameongea vitu ambavyo ni vya msingi Sana pale Azam kuna watu wa Simba na Wengine Yanga hivyo anaona timu haina malengo Kwa mujibu wa voice yake aliyotoa leo
 
Kumbe Dube ni utopolo.
Utopolo Wana visa vingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…