Dubai

Dubai

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2009
Posts
3,402
Reaction score
321
Moja ya maeneo fulani fulani katika jiji la Dubai
IMG_20180329_183344.jpg
IMG_20180307_213211.jpg
 
  • Thanks
Reactions: sab
Duh!, bonge la mji, sasa sipati picha ikiwa Dodoma vile palivyo pamepewa hadhi ya jini, ingekuwa Km Dubai sijui wangepaitaje!!.
 
Wameitumia natural resource yao moja tu ambayo ni Mafuta kufika hapo,kabla ya kuingia kwenye mambo ya biashara.
Na mafuta hawana kivile mkuu but hawa jamaa wanajua kuweka mitego ya pesa na wana hakikisha pesa yao haipotei hata Dirham moja njiani na ni watiifu sana lakini naweza sema UTU, na utamaduni wao wa kuheshimu wageni ndiyo siraha yao kuu katika kupiga hatua za maendeleo wawekezaji ni wengi sana kwa sababu ya amani, haki, na usawa katika Jiji la Dubai huwezi jua mgeni yupi mwenyeji yupi katika maswala yote yanayomhusu binadamu
 
Very good, now its time for you to practise on your nation what you have gained from them
You said t all brother a problem is how to participate, you know if there was a room for us to meet our concerned persons to talk about this matter t'would be so good so nice but nothing kaka
 
  • Thanks
Reactions: sab
You said t all brother a problem is how to participate, you know if there was a room for us to meet our concerned persons to talk about this matter t'would be so good so nice but nothing kaka
Good things not coming so easily kaka, you have to force to find a room to discuss this matter, otherwise blaming will not change anything for your nation, your nation needs you to make it better blace for a living
 
Noted brother its blaming will never bring changes though its sometimes used to keep some one aware to be care so that won't be blamed.

But there's something wrong with us kaka cause you know why so many peoples who are supposed to collect our opinions and sometimes advice are so selfish and a bad thing they are not ready to be a source of changes for our nation, they can't accept anything unless otherwise you are in a same uniform with them

Look at our Parliament as an example
 
  • Thanks
Reactions: sab
Back
Top Bottom