Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Miaka 56 baada ya Uhuru bado Umeme ni wa shida.
Kunako mwaka 2200Tutafika na sisi one-day.
Kipindi hicho watu watakuwa wanaandika "Tanzania miaka milioni 800000 iliyopita" [emoji21] [emoji21] [emoji21]Tutafika na sisi one-day.
Lakini analogic.Nchi zilizoendelea walianza maendeleo ndo vikaja vyama.Huku Africa tunaanza vyama ndo tunakuja maendeleo.Umeharibu kwa kuleta uchama wako.
Kwa point zako tumeshakugundua wewe ni ccm.
UNATAKA KUTETEA SERIKALI ZA KIFALME?Lakini analogic.Nchi zilizoendelea walianza maendeleo ndo vikaja vyama.Huku Africa tunaanza vyama ndo tunakuja maendeleo.
Sure. Thanks for this observation.Tutafika na sisi one-day.
Mkuu funguka akili.UNATAKA KUTETEA SERIKALI ZA KIFALME?
Waarabu hao mfumo wao ni WA KIFALME.Mkuu funguka akili.
punguza mbwembwe basi hapo izo tren zisizo na dreva hata Singapore zipo na mada yake ilisha jadiliwa umu!!![]()
Dubai mwaka 1990
![]()
Mtaa huo huo mwaka 2003
![]()
Mtaa huo huo mwaka 2007
Kilichoendelea baada ya hapo ni hiki
![]()
Na hiki![]()
Na hiki![]()
Na hiki
![]()
Na treni lisilo na dereva![]()
Si London, si Paris, si New York. Wote hoi.
Jamaa hawana vyama vya siasa vinavyohujumiana. Wananchi wao hawana ushabiki wa kuipinga serikali kwa misingi ya vyama. Wanamiliki mafuta yao.
Na sisi tukiwakaba koo wawekezaji tukimiliki rasilimali zetu uongo tutafikia hata robo ya maendeleo ya Dubai.
Kidogo niweke sawa point ya mwisho, Dubai wana mafuta kidogo sana tena sana sema wao wameweka mazingira ya uwekezaji bora, free port, utalii, real estate development, kujenga au kuvutia uwekezaji wa mahotel makubwa kukidhi mahitaji ya wageni na zaidi usalama na pia wameweza kuwafanya watu mataifa tofauti au dini kuishi pamoja kwa kuheshimu sheria. Mafuta ni madogo sana maana Abudhabi ndio wanautajiri mkubwa sana tu wa mafuta na wanatoa budget kubwa ya federal lakini Dubai wako juu kibiashara.
Wahandisi wao ni sawa tu wanaotoka DIT na UDSM. Tatizo la huku kwetu ni siasa na utayari wa utashi wa viongozi. sisi bado hatujakubali kama adui wetu mkubwa ni Umaskini, Ubinafsi na Ujinga. Bado tunahisi adui yetu mkubwa ni vyama vya upinzani.Wahandisi wa dubai wanatoka wapi?
punguza mbwembwe basi hapo izo tren zisizo na dreva hata Singapore zipo na mada yake ilisha jadiliwa umu!!
Mahaba yakizidi Muone daktari
lakini kataja london, paris na newyork au umevua miwani.... hahahahapunguza mbwembwe basi hapo izo tren zisizo na dreva hata Singapore zipo na mada yake ilisha jadiliwa umu!!
Mahaba yakizidi Muone daktari
mjingaweweUmeharibu kwa kuleta uchama wako.
Kwa point zako tumeshakugundua wewe ni ccm.
wanabahati kweli mafisiem hawajakatiza huko,yangebaki mashimo tu![]()
Dubai mwaka 1990
![]()
Mtaa huo huo mwaka 2003
![]()
Mtaa huo huo mwaka 2007
Kilichoendelea baada ya hapo ni hiki
![]()
Na hiki![]()
Na hiki![]()
Na hiki
![]()
Na treni lisilo na dereva![]()
Si London, si Paris, si New York. Wote hoi.
Jamaa hawana vyama vya siasa vinavyohujumiana. Wananchi wao hawana ushabiki wa kuipinga serikali kwa misingi ya vyama. Wanamiliki mafuta yao.
Na sisi tukiwakaba koo wawekezaji tukimiliki rasilimali zetu uongo tutafikia hata robo ya maendeleo ya Dubai.
free masonsWahandisi wa dubai wanatoka wapi?