Dubai Miaka 20 Iliyopita

Dubai Miaka 20 Iliyopita

Ujue hata Trump alichukua pointi kwenye kugombea uraisi kwa kulinganisha maendeleo ya USA na Dubai. Alilaani matrilioni ya dola yaliyopotezwa kulazimisha demokrasia Arabuni wakati miji ya USA inadorora kwa uchakavu.
 
Engineers waliodesign na kujenga majengo ya Dubai, Qatar na Yemen ni Waisrael wamarekani na Waingereza.
 
Umaskini wa nchi unaanzia kwenye fikra za mtu mmoja mmoja. Ili tuendelee lazima fikra zetu mmoja mmoja ziendelee.
 
Kumbuka ni dola saba za wafalme ziliungana. Abu Dhabi ndio makao makuu kwa sababu wana mafuta mengi. Dubai ndio kituo chao cha biashara. Waarabu hawa nimewavulia kofia. Wana mfumo wa serikali wa mchanganyiko wa demokrasia za ulaya na ufalme. Hawana ushabiki wa dini wa kipumbavu. Na hawana vyama vya kisiasa vya kipumbavu. Sidhani kama wana chama hata kimoja.

Funzo kwetu ni hivi vyama vya siasa visiishie muungano kwenye ukawa. Viungane vyote kwa mpigo pamoja na CCM. Wote wawe kitu kimoja kuleta maendeleo. Ni upuzi mtupu kuwa na mgombea wa urais wa upinzani alietoka CCM. Atabadilisha nini?

Kama una point hivi..
 
Back
Top Bottom