Ni kweli. Ila pia kuna mabadiliko taratibu yanayoletwa na watu wa magharibi. Nilipokuwa Dubai, nilijifunza kuwa wale watu miaka ya nyuma walikuwa very strict katika kuoa na kuolewa. Waliffuat culture za emirat. Lakini juzi juzi wamstuka tayari kuna muingiliano wa hali ya juu sana wa kuolewa na kuoa watu wasio na emirat culture. Hii inaleta tabia ngeni kabisa.
Siku ya kwanza nilienda pale The Mall of Emirates jioni sasa katika kutembea na kununua vitu kadhaa mule ndani, kwa vile mall ni kubwa sana, nikatumia muda mrefu na kuangalia saa ni saa mbili na nusu jioni. Ingawa hapo hapo kuna kituo cha train (metro), lakini kule nilikukuwa naenda nilihisi usalama wangu njiani utakuwaje? Lakini niliuliza wakasema yaani wewe hata uache vitu vyako barabarani kesho utavikuta yaani hakuna shida kabisa. Ni kweli full peace.
I like Dubai. Beautiful.