Dubai 2025 itakuwa ni kama ulaya vile

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,800
34,189
Dubai.jpg
Dubai 1.jpg
Dubai 2.jpg
Dubai 3.jpg
Dubai 4.jpg
Dubai 5.jpg
 
Tungekuwa na structure kama hizi kwenye junction za barabara kubwa foleni tungeisikia redioni tu, tatzo hakuna priority kwa ujenzi wa aina hii. Serikali zilizopita kila kukicha ni upembuzi yakinifu... afadhali sasa kidogo wameanza kuchimbachimba tazara!
 
Mbona karibu picha zote ulizoweka tayari zinafanya kazi dubai? Mpaka sasa dubai imezidi miji mingi ya ulaya
 
Mleta mada umevurugwa au ndo kikurupuka? Unasema iwe kma ulaya wakati sasa hivi tu nchi nyingi za ulaya zmepitwa na dubai
 
so far binafsi nikiambiwa nitaje mji wowote wa ulaya uliojengeka kileo zaidi ya dubai nitashindwa kutaja,unaweza nitajia mji ambao sasa una majengo ya kisasa kuliko dubai ulioko ulaya??
 
Nadhani miji ya Ulaya ni kwa ajili ya fahari ya macho, mwili na akili lakini Dubai inaonekana ni fahari ya macho tu maana structures nyingi hadi bustani ni artificial!
 
Mleta mada umevurugwa au ndo kikurupuka? Unasema iwe kma ulaya wakati sasa hivi tu nchi nyingi za ulaya zmepitwa na dubai
Mimi mkuu amenichanganya aliposema Dubai itakuwa hivyo 2025 wakati hizo picha ndivyo dubai ilivyo kwa sasa!
 
Back
Top Bottom