jay_samuel_dunstan
Member
- Aug 6, 2014
- 39
- 3
CLOSED
Tofauti kati ya mashine(computer) ambayo ni "Dual core and pentium(r)" zinatofauti gani
Tofauti kati ya mashine(computer) ambayo ni "Dual core and pentium(r)" zinatofauti gani
CLOSED
Tofauti kati ya mashine(computer) ambayo ni "Dual core and pentium(r)" zinatofauti gani
Je kwa computer ambayo inatumia mfumo wa pentium R, kuna any possibility kuibadili kuifanya iwe namfumo wa Dual Core
Ungekuwa mwalimu mwanafunzi wako ataayefeli stahili yake anyongwe! chukua tano!Kwa mimi mtu wa kawaida.
Dual core maana yake ni cores mbili ..... cores numbers ni sawa na farasi kwenye mkokoteni, farasi wawili wana nguvu zaidi ya mmoja (ukiweka mbali other factors kama ukubwa wa farasi etc)
Pentium, ni brand ya processors kama ilivyo Galaxy kwa Samsung.
Intel ni kampuni inayotengeneza processors za Pentium, kama vile Samsung inavyotengeneza smart phones kama Galaxy.
aina nyingine za processors kutoka Intel ni kama vile Celeron, yaani ni sawa na Samsung kutengeneza Rugby, Avant etc...
Kampuni nyingine inayotengeneza processors ni kama AMD, inayotengeneza Athalon. Kama vile Apple inavyotengeneza smartphones (Iphones).
Pentium-Dual core ni series kama ilivyo Samsung- galaxy SII.
AMD wanazo Athalon X2 kuonyesha kuwa ni dual core. Sawa kuwa na gari yenye Turbo Engine lakini make, au model tofauti.