Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,774
- 256,819
Mume anapotaka kumuingilia mkewe, inampasa daima aseme:
بِسْمِ الله اللّهُـمَّ جَنِّبْنا الشَّيْـطانَ، وَجَنِّبِ الشَّـيْطانَ ما رَزَقْـتَنا
Bismillahi, Allaahuuma Jannibnaa-sh-Shaytwaan, Wa Jannibish-Shaytwaana Maa Razaqtanaa
Kwa jina la Allaah, Ee Allaah Tuepushe na Shaytwaan, na Muepushe shaytwaan na Ulichoturuzuku (yaani kizazi).
Mtume صلى الله عليه وآله وسلم amesema kuhusu hili:
((فإن قضى الله بينما ولداً؛ لم يضره الشيطان أبداً))
((Baada ya hapo Allaah سبحانه وتعالى Akijaalia, watapata mtoto ambaye Shaytwaan hatoweza kumdhuru abadan))
Nb:
Hapa sio msikitini Wala kanisan, lakini jukwaa hili linagusa mahusiano, urafiki, ndoa na kimsingi mahusiano yetu yanajengwa kwa misingi ya iman fulani. Sijakashifu imani ya mtu Niko katika kuelimisha kwa kundi nililolikusudia mods naomba wale wanaokashifu dini na kuzua matusi wapigwe ban na sio kuifungia thread kwa ajili ya watu wachache wenye kukashifu na wengi wakakosa fursa ya kujifunza.