connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,840
- 3,909
Andaa JubaWaandae na ubwabwa maharage wapiga kura tuje kula
Ntasikilizia nje huku nikisubiri ubwabwaAndaa Juba
Basi andaa mfuko wa kubebea cha mtumeNtasikilizia nje huku nikisubiri ubwabwa
Mungu anasikiliza dua ya kuomba kufanikisha kuiba uchaguzi? Mbona kama siwaelei hivi. Wanamuomba Mungu ama shetani kufanikisha hilo. Jenerali ulimwengu alizungumzia udhu na janaba sijui. Uchaguzi ni haram kwanza. Wakomae uwe halal halafu ndiyo waje na dua zao. Ama sivyo tutawaona wameamua tu kufungamana na hao wagombea kwa sababu ya uislam wao bila kuangalia uhalali wa mchakato mzima wa uchaguzi.BAKWATA wameandaa dua ya kuombea Uchaguzi Mkuu.
Maajabu ni kwamba Wageni rasmi ni Wagombea waliopitishwa na Chama chao kugombea Oktoba 2025 (CCM)
Kwa uzoefu wangu mashek wa kweli ni wale wanavaa suruali fupi na kufuga ndevu .Hao ni msheikh ambao wanatamani dunia kuliko akhera, wameamua kuwa machawa rasmi
Kuna kaukweli fulani katika hilo.Kwa uzoefu wangu mashek wa kweli ni wale wanavaa suruali fupi na kufuga ndevu .
Hawa bakwata ni mashekh ubwabwa
Ni muhimu sana watanzania wote kushiriki dua hiyo muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu 🐒BAKWATA wameandaa dua ya kuombea Uchaguzi Mkuu.
Maajabu ni kwamba Wageni rasmi ni Wagombea waliopitishwa na Chama chao kugombea Oktoba 2025 (CCM)
BAKWATA wameandaa dua ya kuombea Uchaguzi Mkuu.
Maajabu ni kwamba Wageni rasmi ni Wagombea waliopitishwa na Chama chao kugombea Oktoba 2025 (CCM)
TakbiirBAKWATA wameandaa dua ya kuombea unaoitwa Uchaguzi Mkuu.
Maajabu ni kwamba Wageni rasmi ni Wagombea waliopitishwa na Chama chao kugombea Oktoba 2025 (CCM)