Dua maalum kwa watu wa mjini waliotangulia!

Dua maalum kwa watu wa mjini waliotangulia!

Kaka Dito kasahauliwa jamani? Si alikuwa Saigon yule?

waote sema haikuwa rahisi kumuandika kila mtu lakini wote ni wenzetu,kina Hassan Omari "tololi",Doza Jabali la muziki Marijan Rajab,mzee magram na wengine wengi wengi tu,tujitokeze kwa wingi kesho.
 
Sasa mkuu, hii mbona ni ibada ya wafu ambayo biblia inakataza? Hayo maombi yata base wapi? na ni kwa Mungu yupi?

kama wewe ni mtu wa mjini uje uone itakuwaje kwenye viwanja vya leaders tarehe 14 january!
 
umemsahau kamanda wangu norbert kuluchumila makene wa club nansio ukerewe
 
umemsahau kamanda wangu norbert kuluchumila makene wa club nansio ukerewe

Huko mbali sana bwana,lakini lazima na nyie mtakua na club zenu za huko,haya mambo yapo kila pahala hata us kuna ma new yorker vilevile hapa mjini kuna wadarisalama wenyewe!
 
Leo ndio tarehe 14 february wadau wenye nafasi tujumuike hapo leaders tuwakumbuke wenzetu ambao tulikua tunakula na kunywa pamoja leo hawapo tena,na sisi ipo siku tutakuwa kama wao wenzetu watakaoishi watatufanyia shughuli kama hii,haya shime tukutane katika viwanja vya leaderz tukamkubuke kaka CHOGGY SLY,MARIAM DONNA SUMMER,IPPY,JOSHIA INTER na wengine wengi tu
 
Mwana tarehe 14 February ya sayari gani hiyo, maana hata huko New Zealand kunakoanzia tarehe wana mwezi mmoja kabla ya kuifikia tarehe 14 February.

Au unamaanisha tarehe 14 January?
 
Mwana tarehe 14 February ya sayari gani hiyo, maana hata huko New Zealand kunakoanzia tarehe wana mwezi mmoja kabla ya kuifikia tarehe 14 February.

Au unamaanisha tarehe 14 January?

nina uchungu sana na ndugu zangu.....naomba mniwie radhi akili haifanyi kazi,ni januari sio feb.
 
Dah! Bwana Maneno Mkabala Huyu Bwana Siwezi Msahau alikuwa ana maneno Mengi kama Jina Lake Kha! Kifo Chake kilisikitisha Wengi nadhani hakuna mtu atakaye tokea kuziba pengo lake la kuchangamsha Saigon Club ai!! Huyu Vipi jina lake liliingizwa au Sijui nimeikosa vipi hii...
 
Ama kwa hakika jana ilikua ni siku nzuri sana marafiki tuliopoteana kukutana kwa ajili ya kuwakumbuka wenzetu,udumu utaratibu huu,hongera balozi CISCO MTIRO na wenzako kwa kubuni kitu hiki kizuri cha marafiki watu wa mjini kukumbukana.
 
Back
Top Bottom