Du nilijua nimeua

Du nilijua nimeua

Jf bhana!?? Kila mtu ni mtaalamu wa mapenz,kila mtu analipwa mshahara mkubwa, kila mtu anadushelele kubwa. Sasa mbona wanawake wanalalamika kila kukicha juu ya udhaifu wa kitandan kwa maana ya kutofikishwa? Hao wenye udhaifu hapo jf? Acha kutudanganya bhana hizo stor za kufikirika
 
Looooh....umekutana nae ck iyo iyo na unazama chumvin!!!...loooh alaf hakuna ulipoonyesha ameingia ata bafun kuoga kabla ya kuzama chumvin.....una balaa utakuja kupata magonjwa ya ajab......pole yako
 
Kwenye hii stori sijaona mahali umeitaja Kondom...
 
kazitubayo vijana wa facebook ni Noma humu JF
maana story za U18 ni kibao
 
Last edited by a moderator:
Umekutana nae stand siku hiyo hiyo na chumvini ukazama? ??? Kweli unahitaji tuzo ya ujasiri na kujitoa muhanga.

Halafu anasema amekutana naye stendi ya Shabib, kutoka VETA mpaka barabarani ni umbali wa mita kama 400 hivi tena hajulikani kama alifika stend kwa daladala au mguu. Jamaa amedai yeye ndiye alienda kuoga hivyo demu hakuoga sasa zingatia hizo movement za bint na harufu aliyokutana nayo humo chumvini, kweli yataka moyo!!!
 
Kwanza, Nenda kacheki ushaukwaa...mnabeba kiholela halafu mnategemea UKIMWI uishe. Pili labda inahitaji ringi au pete inawezeka umegonga mahala sipo
 
Kaibiwa kwa style ya uniform ahahaha!Ulitoa bei gani baada ya mwanafunzi kuzimia gheto?
 
Ina maana kwenye hii hadithi umesahau kuandika condom
Haukutumia...
 
Umekutana nae stand siku hiyo hiyo na chumvini ukazama? ??? Kweli unahitaji tuzo ya ujasiri na kujitoa muhanga.

Halafu mbaya zaidi demu mwenyewe hakuoga!!!
demu yawezekana kabisa alipagawa akahisi pengine kakutana na msukule maana inasemekana misukule halishwi vyakula vyenye chumvi kwahiyo jamaa alivyokimbilia uchumvini mmmmmh demu akaprove kuwa atamegwa na jini live!!
pytuuuuuu oooooghooo!!
 
ulienda kituoni ukamuona bint kavaa uniform

ukamwita pembeni ukampeleka gheto( kiitaalamu hii process inaitwa ku down load)

kufika gheto ukaenda kuoga

uliporudi dem kalala kitandani

ukaanza kuangalia movie akanogewa ukagonga



mkuu taratibu nirudishie chenji yangu picha feki hili cd inarukaruka sana
 
Bunge la bajeti inabidi uwawekee bajeti watu wa kundi lako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom