Du hawa watoto ni wakali

Hakika ni wakali!! Ila nahofia wasije wakadharau masomo sbb ya kubobea ktk hip hop.
Inabidi kuwe na uswaziko. Mnaojua walipo, tafadhali washaurini sana.
Hakika kipaji wanacho.
 
Madogo inabidi watafutiwe mwalimu wa kuwapa directives! watakuja watishe huko mbeleni kama watapatiwa mwalimu na siyo mvuta mbagi. Hizi ndo vipaji vinavyotakiwa kuibuliwa kila sekta, siyo tu kwenye michezo hata nyanja zingine kama elimu, jeshini nk.
 
Dah! wapo juu. Ila huyo dogo wa pili nadhani ameshakuwa teja!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom