DSTV yachanganyikiwa na ushindani

Hamiyungu

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
485
460
Siku za nyuma mteja wa DSTV compact ulikuwa huwezi kuona mechi live hata moja ya epl lakini siku hizi kutokana na ushindani kuwa mkubwa mtumiaji wa DSTV compact anaangalia mechi moja ya epl live kupitia supersport select, ligi ya Italy na mechi zingine unaziona siku moja baada ya kuchezwa. Pia kuna channel ya movie iitwayo universal studio ambayo wameiongeza juzi tu kwa watu wa compact nao wanaipata pia nasikia october 14 wataongeza channel kama tlc na discovery id kwa compact na premium.

Kule Kenya, Uganda na Zambia DSTV wameanzisha TV ya kulipia iitwayo gotv ambayo inapatikana kwa antenna kama star times, yote hiyo ni kuhakikisha wanakaba mpaka penati.
 
emike

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
345
108
inakuwaje gotv ianzishwe kenya zambia nigeria na uganda sisi bongo vipi, bado tumelala tu????
 
M'Jr

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,752
1,856
Dah ila expensive bhana mwezi uliopita nimelipa 130,000 coz niko kwenye premium package na inaisha leo hapa kichwa chaniuma
 
ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,975
1,639
Hata wafanyaje, huku mikoani hawatupati ng'oo, abudhabi sports tunakamua mechi zote za epl kwa sh 15,000 tu kwa mwezi. Walie tu hao jamaa imekula kwao labda wabadilike
 
BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
572
Hata wafanyaje, huku mikoani hawatupati ng'oo, abudhabi sports tunakamua mechi zote za epl kwa sh 15,000 tu kwa mwezi. Walie tu hao jamaa imekula kwao labda wabadilike

mkoa gani huo mkuu??
 
elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,267
9,651
daaah piga ua garagaza dstv ndo mpango mzma hakuna cha star times wala ting hao cheche tu wajua cheap sometimes is xpensive than u think. king'amuzi hakuna deal
 
DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
daaah piga ua garagaza dstv ndo mpango mzma hakuna cha star times wala ting hao cheche tu wajua cheap sometimes is xpensive than u think. king'amuzi hakuna deal

Gharama sana hao!! sio kwa faida ya mtanzania wa kawaida!!.
 
Mabuzuki

Member
Jun 10, 2011
47
21
Its true jamaa wako juu saaana! na kwa watanzania wengi DSTV mi naona ni kwa ajili ya EPL tu. Kinachoumaga ni pale ikiisha ukapiga mahesabu umeangalia mara ngapi kwa huo mwezi hesabu haziji kabisaaa, Bora waangalie jinsi ya kuanzisha utaratibu wa PAY AS YOU WATCH!!! Dar kuna kipindi walikuwa na package yenye S3 kwa 15,000 au 20,000 kama sikosei, kama bado iko wa-introduce ni mikoani watapiga piga bao kidogo.
 
jacobae

Member
Oct 29, 2007
68
0
siku za nyuma mteja wa dstv compact ulikuwa huwezi kuona mechi live hata moja ya epl lakini siku hizi kutokana na ushindani kuwa mkubwa mtumiaji wa dstv compact anaangalia mechi moja ya epl live kupitia supersport select,ligi ya italy na mechi zingine unaziona siku moja baada ya kuchezwa.pia kuna channel ya movie iitwayo universal studio ambayo wameiongeza juzi tu kwa watu wa compact nao wanaipata pia nasikia october 14 wataongeza channel kama tlc na discovery id kwa compact na premium.
kule kenya,uganda na zambia dstv wameanzisha tv ya kulipia iitwayo gotv ambayo inapatikana kwa antenna kama star times,yote hiyo nikuhakikisha wanakaba mpaka penati.

universal studio iko namba ngapi?
 
BinMgen

JF-Expert Member
Jun 18, 2008
1,845
245
Its true jamaa wako juu saaana! na kwa watanzania wengi DSTV mi naona ni kwa ajili ya EPL tu. Kinachoumaga ni pale ikiisha ukapiga mahesabu umeangalia mara ngapi kwa huo mwezi hesabu haziji kabisaaa, Bora waangalie jinsi ya kuanzisha utaratibu wa PAY AS YOU WATCH!!! Dar kuna kipindi walikuwa na package yenye S3 kwa 15,000 au 20,000 kama sikosei, kama bado iko wa-introduce ni mikoani watapiga piga bao kidogo.

hiyo package bado ipo ila kwasasa ni 30,000 na wala sikushauri ujiunge hamna kitu.
 
Hamiyungu

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
485
460
ni kweli kwa content na clarity dstv ipo juu sana sema gharama zao tu ndio tatizo na kama mpenzi wa movies hu-enjoy sana kwani movies nzuri ambazo age restriction ni kuanzi 16 and above zinaonyeshwa usiku sana na huwezi kuangalia movie mpaka sana nane usiku then uamke mapema kwenda kibaruani inakua ngumu na hii yote wanataka kama mpenzi wa movie ununue decoder ambayo ni HD PVR uweze kuzirekodi na kuangalia kwa muda wako..PAY AS U WATCH ni vigumu sana kuanzishwa kwani watapata hasara,kuna baadhi ya channels watu hawataangalia kabisa mfn TCM au FTV..
daaah piga ua garagaza dstv ndo mpango mzma hakuna cha star times wala ting hao cheche tu wajua cheap sometimes is xpensive than u think. king'amuzi hakuna deal
 
mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,244
7,193
Its true jamaa wako juu saaana! na kwa watanzania wengi DSTV mi naona ni kwa ajili ya EPL tu. Kinachoumaga ni pale ikiisha ukapiga mahesabu umeangalia mara ngapi kwa huo mwezi hesabu haziji kabisaaa, Bora waangalie jinsi ya kuanzisha utaratibu wa PAY AS YOU WATCH!!! Dar kuna kipindi walikuwa na package yenye S3 kwa 15,000 au 20,000 kama sikosei, kama bado iko wa-introduce ni mikoani watapiga piga bao kidogo.
Ukichukulia muda mrefu unakuwa huna umeme lakini bado unalipa ileile kwa kweli inauma sana ,Kenya <nigeria ni wajuaji tofauti na TZ na ndio maana huko wanakuwa na package za aina mbalimbali na nafuu ,huku wanatuona ni malimbukeni kwa hiyo wanatukamua wanavyopenda
 
Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,039
Dstv ni poa ingawa watu wanalalama kwa cost lakini hapa TCRA inabidi ingilie kati kwamba locar channels kama ITV,EATV,STAR TV,C.TEN,C2C etc zipatikane na ziwe free channels au mnasemaje wadau.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

1 Reactions
Reply
Top Bottom