super nova
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 1,478
- 1,099
azamtv tumemvumiliaaaaa mwisho msimu huu skysport na BETwameshanunua raets kwa msimu ujao skysport kanunua dora milioni 500 bet dora milioni 600 na wao ndio huuza kwa dstv bein sport indiasport chinasport na wengine watauza baada ya msimu huu kuisha sasa azamtv akishindwa kununua kwa ajili ya msimu ujao wa ligi itakuwa azamtv kwishneyi
DORA Millioni 600 ndio nini mkuuu....
continental wanaonesha bure channel 24 ikiwepo Emmanuel tv, citizen, ktn aljazra....bbc ....france...cctv....voa....etc....sijawahi lipia hata centi
DORA Millioni 600 ndio nini mkuuu....
continental wanaonesha bure channel 24 ikiwepo Emmanuel tv, citizen, ktn aljazra....bbc ....france...cctv....voa....etc....sijawahi lipia hata centi
Hivi siwezi Kuchagua channels ninazotaka nikalipia hizo............?.......maana huwa situmiagi zote.........mimi sana sana ni Cheaters na Jerry Springer ..........hizo channel zinazoonyesha hizi show............zinaweza kuwa sh ngapi.........?.........
Kinachopandisha bei ya dstv ni live soccer siyo hizo channel unazotaja. Kama kweli huhitaji soka kwa nini uhangaike na DSTV?
ligi ya uingereza imeuzwa kwa mabilion kwa sky na bt sports si ongezo hilo ni kuanzia msimu ujao si msimu huu ni majanga wakuuu ila naskia azam wanataka warushe epl
Wenye hela za mawazo mtuachie wenye uwezo nyie nendeni huko STAR TIMES. Sisi tuendelee na yetu DSTV. Mpyuuuuuu........STAREHE GHARAMA. Unapenda starehe hela unaichungulia mfukoni nyie vipi? au mnafikir wao hizo channel wanapata bure? Wabaneni viongozi wenu kushuka kwa thamani ya "HELA YA MADAFU" dhidi ya Dola. Na hivi uchaguzi unakaribia tarajieni 1 USD = 3000 TSH. ndo mtajua MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA NI NINI!!!
Watu kama nyie ndio huangalia vibanda umiza hapa mnajishaua.