Ebu kuna nini katika dstv ambacho kinafanya kweli MTU ulipe
Kufanya ulipe laki moja na zaidi kuangalia tv tu. Ebu tujiulize sisi wenyewe tunaenda wapi AZAM analipiza shs.12000/=kwa mwezi twende AZAM TV tumpe support aweze kufikia huko. Lazima tujifunze kungomea awa watu nje wanaotoka nchi za nje kutukomoa. Tutumie vyetu tafadhali sana.
Kaka hiyo ni story ya kijiweni. GTV waligongwa na global financial crisis.DSTV ni wajanja sana katika biashara hii,ilipo kuja Gtv na yeye kuona anapoteza wateja kutokana na kuto onyesha epl aimfuata mmoja wa wenye hisa nyingi GTV na kumrubuni ajitoe,jamaa akatoa mtaji Gtv ikashindwa kujiendesha,akachukukua tena right epl....huku nigeria miaka ya juzi juzi alipoteza kwa HITV kila wekienda ku tender hitv wanashinda dstv wakairubuni bank inayo wapa dhamana hitv so ikakosa nguvu ikapoteza epl kwa dstv na kupotea kabisa kama gtv na kuwaacha watu na decoder zao....hapa tz kama azam atashinda tender ya epl dstv hawatamfanyia hujuma kwakua wateja wa dstv ni wachache sana....africa kusini inaongoza kwa kua na wateja wengi ikifuatiwa na nigeria.
Kuna watu wanaitwa beIn Sports, ambayo tawi la Al Jazeera ya Doha, unaweza kununua decorder yao na kutafuta mafyndi wajanja wakakufungia na ukawa unalipia online. Japo beIn Sports haina rights z kurusha EPL ukanda wa Africa Mashariki, but still inaonekana na wana match analyisis nzuri kuliko Super Sport. Jamaa wapo vizuri sana aw beIn Sporta.
Usinitanie...nikinunua kwa bei ya zamani haifiki 1.4 mil
Dstv wamepandisha bei kuanzia April 9 vifurushi vimepanda ile ya elfu 56 inakua elf ,66 premium kile kikubwa kitaakua 168000
Hvi ni kingamuzi gani napata Emmanuel TV vizuri na price poa nasikia ting iko poa Sana kwa wale wazoefu mtujuze
Kuna watu wanaitwa beIn Sports, ambayo tawi la Al Jazeera ya Doha, unaweza kununua decorder yao na kutafuta mafyndi wajanja wakakufungia na ukawa unalipia online. Japo beIn Sports haina rights z kurusha EPL ukanda wa Africa Mashariki, but still inaonekana na wana match analyisis nzuri kuliko Super Sport. Jamaa wapo vizuri sana aw beIn Sporta.
Kundisha being DSTV no sisi kujitakia nchi,Nina imani TBC iuwezlo wa kuwa kingamuzi na kutuonyesha yote hayo ya DSTV kwa being poa. Ebu serikali yetu iwape pesa TBC ifanye mambo saws.
Ebu kuna nini katika dstv ambacho kinafanya kweli MTU ulipe
Kufanya ulipe laki moja na zaidi kuangalia tv tu. Ebu tujiulize sisi wenyewe tunaenda wapi AZAM analipiza shs.12000/=kwa mwezi twende AZAM TV tumpe support aweze kufikia huko. Lazima tujifunze kungomea awa watu nje wanaotoka nchi za nje kutukomoa. Tutumie vyetu tafadhali sana.
nunua qsat
Kwakweli bora kuingia humu sasaivi mkuu una experience yoyote na hii qsat
Usijaribu kuingia huko ni usanii tu,kama unahitaji nakuuzia cha kwangu kwa 150,000 .ni full majanga ila wanaouza wana promo hatari.