DSTV wapandisha bei

DSTV wapandisha bei

Tripple D

Senior Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
187
Reaction score
61
DStv wamepandisha bei kuanzia April 9 vifurushi vimepanda ile ya elfu 56 inakua elf ,66 premium kile kikubwa kitaakua 168000
Hvi ni kingamuzi gani napata Emmanuel TV vizuri na price poa nasikia ting iko poa Sana kwa wale wazoefu mtujuze.

attachment.php

 
Wameongeza dola 10 kila package
 
Ahhh asee dstv ni bomba hata wapandishe laki bado tutaendelea kuitumia
 
Watatuua hawa watu. Ila wanajua asilimia kubwa ya watu wanapenda mpira na ndo hapo wanapopigia bao
 
Jamani GTV mpo wapi? hebu rudini mfanye yenu banaa maana mkaburu anatuchuna mpaka ngozi sasa!
 
Dstv wamepandisha bei kuanzia April 9 vifurushi vimepanda ile ya elfu 56 inakua elf ,66 premium kile kikubwa kitaakua 168000
Hvi ni kingamuzi gani napata Emmanuel TV vizuri na price poa nasikia ting iko poa Sana kwa wale wazoefu mtujuze

continental wanaonesha bure channel 24 ikiwepo Emmanuel tv, citizen, ktn aljazra....bbc ....france...cctv....voa....etc....sijawahi lipia hata centi
 
asilimia kubwa ya wanaonunua hii ni kwasababu ya mpira tu.

Siku watanzania wakipata mbadala wa kuangalia mpira kwa bei ya chini. Dstv wanasaga meno.

ligi ya uingereza imeuzwa kwa mabilion kwa sky na bt sports si ongezo hilo ni kuanzia msimu ujao si msimu huu ni majanga wakuuu ila naskia azam wanataka warushe epl
 
Kama hauwezi unaacha wengine.
Fanya kazi zaidi
 
Back
Top Bottom