unatazama ligi zote maarufu na local zote
Posta duka gani?Vinauzwa posta 48 elfu tu unatazama ligi zote maarufu na local zote
mkuu sijakuelewa!halafu ukisha kuny.a?Ikiwa hivi ntakunya jumatatu saa kumi na moja pale posta mpya mbele ya tawi la azikiwe la crdb, na pale akiba saa kumi na mbili jioni.
Uzushi? Supermarket haina jina? Mbona DSTV wenyewe hawatangazi? Tusubiri matokeo.Nendeni posta mpya jengo la PSF utaona supermarket kubwa sana uliza hapo ving'amuzi uone vina HD ya ukweri me nshagawa star tyms yao
Ikiwa hivi ntakunya jumatatu saa kumi na moja pale posta mpya mbele ya tawi la azikiwe la crdb, na pale akiba saa kumi na mbili jioni.
Ikiwa hivi ntakunya jumatatu saa kumi na moja pale posta mpya mbele ya tawi la azikiwe la crdb, na pale akiba saa kumi na mbili jioni.
Mwe! mwe! mwe! mwe! mavi hayo mi huko sipiti
Ntawatafuta customer care kesho nisikia wanasemaje!!!!!!
haya mkuu maana hata mleta mada kasema jengo PSF sijui lipo wapi hapa posta..