DSTV wana mfumo wa kizamani?

Ndio mvua ikinyesha Dstv inakata inaanza kuscratch scratch mwishoni inaanza kublink namba kwenye interfacew decorder
Sasahivi imeanza kuscratch na inaleta msg samahani kwa usumbufu unojitokeza mafundi wanashughulikia kurekebisha tatizo. .
Mawwweeee!![emoji844]
 
Ushawahi ona kukiwa na wingu au mvua ikinyesha Dstv inakata mawasiliano kama zilivyo hizo Azam na hao Wachina?
inakata na inakupa ujumbe wa"signal is lost due to bad weather or settings"
 
Decoder za Dstv hasa zile za zamani ambazo sio HD ni kweli zinachelewa sana kuwaka.
All in all, wana kuwa wanaondoa wezi kwenye server zao kama mmoja alivyotamka hapo juu. Kwa hio kila decoder ikiwaka lazima ihakikiwe kwanza kwenye server iwapo ni ya kwao ama ya wezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…