Ndio mvua ikinyesha Dstv inakata inaanza kuscratch scratch mwishoni inaanza kublink namba kwenye interfacew decorderUshawahi ona kukiwa na wingu au mvua ikinyesha Dstv inakata mawasiliano kama zilivyo hizo Azam na hao Wachina?
Nina almost miaka7 tangu nianze kutumia Dstv kiukweli sijakumbana na tatizo la kuscratch mvua ikinyesha.Ndio mvua ikinyesha Dstv inakata inaanza kuscratch scratch mwishoni inaanza kublink namba kwenye interfacew decorder
Ulifungiwa na fundi wa mitaani weweNdio mvua ikinyesha Dstv inakata inaanza kuscratch scratch mwishoni inaanza kublink namba kwenye interfacew decorder
Walikuja DSTV wenyewe nio ni 2002 walivyofunga...Ulifungiwa na fundi wa mitaani wewe
Yenu na nani?Tuachie dstv yetu. Haraka ya nini?
Unataka kuibiwa?Natafuta wale wataalamu wa kuongeza chanel ktk decoda bila kujali wanaiba au halali
Na demu wangu.Yenu na nani?
Me natumia Hd dstv huku mvua ikimwaga nazima nawasha azam iko safi 100%Ushawahi ona kukiwa na wingu au mvua ikinyesha Dstv inakata mawasiliano kama zilivyo hizo Azam na hao Wachina?
Bado zipo?Mkuu ulisha wahi kutumia simu ya blackberry?
Acha uongo,,,,,Shida zaidi ukiondoa football,news na michezo mingine,vipindi vingine ni program za kizaman kwel kwel