halafu wanaringaringa na michaneli yenyewe ya hovyo tu mle, wengi walipenda DSTV sababu ya Supersport channels tu na ndio zinawapa kiburi, tukaomba waongeze na ITV wakafanya hivyo, lakini sasa kama ni habari hata Azam zipo, kama ni mpira kwingine zipo ...
DSTV saizi wezi tu, wanyonyaji wale...
kwa kifurushi cha Bomba siwezi kilipa zaidi ya 20000 kwa lipi hasa la ajabu...!! shame on you DSTV .