wanachoshaa kabisa! nadhan niwakati wa ving'amuzi vyetu kuonyesha ligi ya uingereza... coz nao with AZAM na STARTIMES tunaona ligi za Spain ma Jerumani..tuachane na huu ukiritimba na unyonyaji wa Makaburu...
Wameniudhu sana... Hata mwaka haujaisha wamepandisha gharama zaidi ya mara nne..waliazna 148000, 169000, 199000, leo wamekuja na 219000..wizi kabisa huu