Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 21,123
- 46,135
Jumapili hii kuna mchezo wa ngao ya jamii pale England, kati ya Man City Vs Chelsea katika uwanja wa Wembley. Mechi hiyo ni ishara ya ufunguzi wa msimu mpya wa EPL.
Cha kusikitisha ni kwamba, Dstv hawataonyesha mechi hiyo kwasababu ambazo hawajiziweka wazi. Pengine kukosa mshindani kumemfanya Dstv abweteke na kuamua kututesa.
Hivyo wapenzi wa soka, mjiandae kisaikolojia kwa jumapili hii, msipate shida ya kuzunguka katika vibanda umiza.