Tangu nimeanza ni Compact tu sijawahi kubadili kifurushi. Hii ni mara ya pili wananichanhanyaNadhani umekuwa ukinunua vifurushi tofauti tofauti that's why the messages keep changing. Huwa nalipia Compact na nilitumiwa message ya kulipa kabla wanipe Compact Plus, I paid and was able to watch UEFA semis.
Diesitivii wanaboa sana siku hizi!
Offer nyingi ni uongo mtupu
Kwenye kurudia movie ndo usiseme!!
Bora ulipie Netflix tu umalize mambo
Ukiwa na smart TV mkuu unaikuta kwenye menu then unafungua account unalipia kwa mwezi unakua unacheki mambo kibao zikiwemo latest movie drama TV shows nkUtaratibu wa Netflix ukoje chief?
Kwani si unatakiwa uzipate tu? Au walitakiwa wakutumie SMS?Ofa za DStv hazieleweki nyingine zinaenda kimya kimya hawasemi. Binafsi kwa miezi 6 nimekua nalipia Compact Plus kumbe kuna offer wamenipa ya kuona channels za Premium ajabu hawakunitaarifu.
Mkuu kuna maana gani ya kunipa offer bila kunitaarifu?.Kwani si unatakiwa uzipate tu? Au walitakiwa wakutumie SMS?
Ila dstv tamu bwanaAzam Anakwenda Kuwafungashia Virago
Startimes, Dstv Hawana Tena Chao,
Mara Local Channels Zitakapoanza Kuonyeshwa
Hata Mimi nilikuta hivo, sasa hiv nikilipa natest channel za premium ,Ofa za DStv hazieleweki nyingine zinaenda kimya kimya hawasemi. Binafsi kwa miezi 6 nimekua nalipia Compact Plus kumbe kuna offer wamenipa ya kuona channels za Premium ajabu hawakunitaarifu.
Huyo azam atasubir sana kwa dstv,Azam Anakwenda Kuwafungashia Virago
Startimes, Dstv Hawana Tena Chao,
Mara Local Channels Zitakapoanza Kuonyeshwa
Mkuu kuwa serious japo kidogo, hao Azam bado sana kuifikia DStv. Wamiliki wa ving'amuzi wa ndani wajifunze kupitia DStv japo itachukua muda ila wana mengi ya kujifunza.Azam Anakwenda Kuwafungashia Virago
Startimes, Dstv Hawana Tena Chao,
Mara Local Channels Zitakapoanza Kuonyeshwa
Azam????Hamia azam
Ilinichukua muda kidogo kujua kama local channels zimetolewa. Nifuate nini huko!, yani niache kuangalia Grand design nije kuangalia ujenzi au chereko.DSTV hatufuati local channels
Nakuunga mkono. Mie walinipa Compact plus mwezi mmoja, baada ya hapo ni hizo za siku 7 halafu wanasema nilipie compact plus wanipe premium mwezi mmoja.Tangu nimeanza ni Compact tu sijawahi kubadili kifurushi. Hii ni mara ya pili wananichanhanya